Recent content by CABANA

  1. CABANA

    Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Ahahahahahahaha bongo tabu sana
  2. CABANA

    Fatma Karume arudishiwa Uwakili Tanzania Bara

    Hivi hata wale waliovamia ofisi zake za IMMA ADV. pale upanga nahisi walitumwa yule jamaa....yaani nchi sijui ilikuwaje?
  3. CABANA

    Ijue Mikoa 10 ya Tanzania yenye Uchumi Mkubwa na Iliyoendelea zaidi

    Yaani Arusha imepitwa na Morogoro..mbwembwe zote zakitalii. Alafu wapi mkoa wa Pwani pamoja na maviwanda yote yale...
  4. CABANA

    Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama mama mwenyewe anaipokea ripoti...akishukuru blla kuonesha kukerwa..na ndio imepita ivyo.
  5. CABANA

    Hii picha Ina tatizo gani

    Nchi hii ya ovyo kabisa...wizara ya michezo ijitathimini kwa hili.
  6. CABANA

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hapo hatuna C A G tuna chawa tu....hii inchi tunachezewa sana akili na serikali ya ccm.
  7. CABANA

    CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

    Akitaja matumizi ya mama safari ya nje ni kiasi ameshatumia ndio nitamuona mkweli.. Pia NA USD zilizofichwa nje ya nchi.
  8. CABANA

    Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Mkuu unamaanisha duniani au hapa bongo 2.
  9. CABANA

    Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

    Sababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $ Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $ Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje. Matajiri kuzificha $
  10. CABANA

    Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Huyo jamaa itakuwa ni ww mwenyewe...kaa nae binti muulize kwa nn alikudanganya...jibu atakalokupa likupe uamuzi...
  11. CABANA

    Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

    Jinga jingine hili hapa...mwanaume wa ovyo kabisa.
  12. CABANA

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    MHAYA KWENYE UBORA WAKE....POPOTE WALIPO LAZIMA WAJITAMBULISHE.
  13. CABANA

    Mwanamke hakuumbiwa majukumu, ni Shida tu.....

    Unapitwa hadi na wanyama...Simba jike ndio linawinda vizuri..kuwatafutia wanae chakula simple ni hivi linapokuja suala la nyumba na familia mwanamke ana jukumu. Mwanaumme anabaki na jukumu security na provisions ambayo kwa sasa ni pesa.
  14. CABANA

    Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Acha hizo hiyo ni sehemu ya mapenzi... Kama humpendi si waachie wenzio....mbona kugegeda huchoki?
  15. CABANA

    Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Chakula tunachokula kinafanana...vyote navyovichukia naye hali tena.
Back
Top Bottom