Sababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $
Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $
Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje.
Matajiri kuzificha $
Unapitwa hadi na wanyama...Simba jike ndio linawinda vizuri..kuwatafutia wanae chakula simple ni hivi linapokuja suala la nyumba na familia mwanamke ana jukumu.
Mwanaumme anabaki na jukumu security na provisions ambayo kwa sasa ni pesa.
Kwanza we me au ke? Kama ww ni ke... Achana nae huyo jamaa...
Kama ni me... Mrudie huyo kajileta mwenyewe..safar hii ingia ka machale...sio unaingia mzima...asije kukuumiza tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.