Recent content by Askarimaji

  1. Askarimaji

    Kwanini sishiki mimba?

    KWANZA JAMBO LA KUSHIKA MIMBA LIPO CHINI YA IDHINI YA MUNGU Ivyo bas hakuna ulazima wa mtu kushika mimba kwa lazima kila anapodhamilia kwa kufanya tendo siku za hatari, Pili mimi ni mtaalam wa tiba kwa wakina mama kuhusiana na uzazi ila kwa njia za dawa za miti(kienyeji), ukijihis una tatizo...
  2. Askarimaji

    Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

    RAISI MSTAAFU NA MTOTO WAKE WANAFANYA BIASHARA YA MAFUTA KATIKA NCHI YETU, WANAMILIKI SHELI KAMA ZOTE, WAO NDIO SABABU YA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA TZ... PIA WAO NDIO SABABU YA MGAO WA UMEME TZ, ILI WAPATE KUUZA MAFUTA VIZURI KATIKA HII NCHI, AYA NI MAMBO AMBAYO RAISI WA WANYONGE ALISHAYASEMA...
  3. Askarimaji

    Naota nafanya mapenzi

    KAMA USHAWAH KUSIKIA JINI MAHABA BAS NDO ILO, UKWELI USIOPINGIKA UNA JINI MAHABA NDUGU YETU, NI JINI ALIYEKUPENDA NA KUKUFANYA WEWE NI MPENZI WAKE, ANAKUFATA USIKU KWENYE NJOZI NA KUKUPA PENZI, ATAKUFANYA USIOE WALA KUOLEWA KWA MWANAMKE, NA UZAZI PIA KUWA MGUMU. Sent from my CMA-LX1 using...
  4. Askarimaji

    Kumpiga mke kunaboresha mapenzi?

    NI KWELI KUMPIGA MWANAMKE KUNAONGEZA MAPENZI, ILA SIO KWA WANAWAKE WOTE, WAPO BAADHI YA WANAWAKE WANA HULKA HIZO... HUPENDA KUPIGWA NDO ASILI YAO, ILA SIO PIGO LA PAKA MWIZI..... MZABE KIBAO KIMOJA TU KINATOSHA KWA KUBORESHA MAPENZI, NINA UZOEFU WA KUTOSHA KWA HAYA NINAYOKWAMBIA. Kuna wanawake...
  5. Askarimaji

    Natafuta mume wa kweli

    Sio jambo rahis kumpata mwanaume unaemtaka wewe, sio rahis kumpata mwanaume mwenye sifa nyingi namna iyo, una vigezo vingi Sana kupitiliza, Utapa mwanaume lakini sio mume
  6. Askarimaji

    Mapenzi ni huruma....tafsiri isiyo na shaka

    Habari zenu ndugu zangu, Leo nimejisikia kuwapa tafsiri halisi ya neno mapenzi, wadogo zangu mliokuwa humu na watoto zangu pia kwa ujumla, kokote ulipo ukiulizwa nini maana ya neno MAPENZI, Jibu hivi " mapenzi ni huruma". Yoyote anaekupenda lazima akuonee huruma, Je unataka kumjua mtu...
  7. Askarimaji

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Wewe endelea kujidanganya tu, waislam wanao oa wake wawili mpaka wanne wawe wachache kuliko nyie ? Unataka waislam wote wafunge ? Ilo haliwezekani...sababu baina yao kuna wagonjwa, kuna wanaonyonyesha, kuna walio katika siku zao, kuna washenz wasio weza kufunga tu kwa kujiendekeza, ivyo bas...
  8. Askarimaji

    Nimemjua kijana anayemdanganya Mke wangu

    Kama mawazo yako ni kuua unaweza kujikuta ukaua mtaa mzima, labda uwaue wote wawili yan kijana na wife, maana ukimuua kijana uyo leo kesho utasikia wife wako anatembea na muuza nazi sokoni utaenda kumuua na muuza nazi, siku chache mbele utasikia wife anatembea na yule kinyozi pale mtaani kwenu...
  9. Askarimaji

    Samia na Magufuli nani mkweli kuhusu mikopo na miradi?

    Sura mbili Samia, Magufuli kwenye mikopo Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi mikubwa ya kimkakati yamekuwa yakiibua mjadala katika jamii, kuhusu ama ni za ndani au ni za mikopo. Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi...
  10. Askarimaji

    Kijana usipoifahamu hii Siri maisha yako ya utafutaji yatakua magumu mno

    ULICHO KISEMA NI SAHIHI ILA USIISHIE HAPO, UKISHAFANIKIWA KWA CHOCHOTE USIKIDHIHIRISHE KWA WATU, YAANI MAFANIKIO YAKO USIYADHIHIRISHE KWA WATU...Mfano UMEOA MKE MZURI, Usimpost mkeo mitandaoni, Usipost nyumba nzuri uliyoijenga, Usipost mtoto mzuri uliyezaa hivi karibuni, Usipost ukubwa wa...
  11. Askarimaji

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Dr Amina umeniliza jamani....muda wote nasoma story yako huku natokwa na machozi
  12. Askarimaji

    Nifanyeje mwanangu azaliwe mwenye afya njema na mwenye akili nyingi(genius)?

    MWANAMKE AZINGATIE KULA VITU VITATU BAS, mengine yote ni mbwembwe tu. Ili mtoto azaliwe akiwa na afya bora na akili nyingi mwanamke anatakiwa kula vyakula vya aina tatu basi. 1- TENDE 2-PARACHICHI 3-MAZIWA Hivyo ndio vyakula bora zaidi kwa mama mjamzito na akitaka nyongeza katika hivi ni supu...
  13. Askarimaji

    Korea Kaskazini yajaribu kombora kutoka bara moja hadi jingine

    Korea Kaskazini yajaribu kombora kutoka bara moja hadi jingine Kim Jong Un ameshuhudia majaribio ya kombora kubwa la masafa marefu linaloweza kutoka bara moja hadi jingine, akiihakikishia nchi yake kuwa iko tayari kwa "ugomvi wa muda mrefu" dhidi ya Marekani, chombo cha habari cha serikali...
  14. Askarimaji

    Fahamu mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani

    Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki. Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
  15. Askarimaji

    Ukraine na Urusi: Je, vaccum au thermobaric ni bomu la aina gani?

    Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
Back
Top Bottom