Recent content by Agentcode92

  1. Agentcode92

    Nikikumbuka haya mambo ninakiri kabisa tumetoka mbali na nchi yetu ilikuwa masikini mno

    Itakuwa unanufaika na CCM mkuu, sema tu utii ulituponza laiti tungelijua...!
  2. Agentcode92

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani lasimika askofu wa kwanza anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 1 Wakorintho 6:10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
  3. Agentcode92

    Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

    Wanashindwa kukamata wezi wa mali za uma, wanawaangalia tu wanavyolamba asali wanahangaika na wajasiliamali wa mwili...!
  4. Agentcode92

    Deni la Taifa: Kukopa sio tatizo, lakini tumefanyia nini huo mkopo?

    Eti anaupiga mwingi, utii umetuponza laiti tungelijua...!
  5. Agentcode92

    Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Moja ya hotuba zake maarufu iliyoandikwa kwanza katika makala mwaka 1963 halafu ikajumlishwa katika kitabu chake kiitwacho 'Uhuru na Umoja' ilikuwa barua kali aliyowaandikia wenzake kuwaomba wamsaidie "Kufuta maradhi ya ukubwa" Nyerere aliandika hivi katika mwaka huo wa 1963. ". . . Na vivyo...
  6. Agentcode92

    Chadema mnaenda kushauriana na wazungu jinsi ya kuja kufanya siasa Tanzania?

    Kama wanashindwa kuamua mambo yao tena yanayowahusu wao hadi waamuliwe na wengine, hata wakipewa madaraka bado hawataweza kujiamulia wataenda kuuliza tena tufanyeje?
  7. Agentcode92

    Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

    Mtu akikumbatia maji kama jiwe atakuwa anamatumizi mabaya ya akili, acha inyeshe tuone inapovuja...!
  8. Agentcode92

    Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Utii umetuponza laiti tungalijua...!
  9. Agentcode92

    Miaka inavyozidi kusonga ndivyo waafrika wanazidi kuwa wapumbavu

    Unaishauri nini serikali katika hili? badala ya kulaumu ngozi nyeusi tuu bila hata kutoa suluhisho.
  10. Agentcode92

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Upendo ambao hauna msingi bora ila kuridhisha tu tamaa za mwili utakuwa mgumu usiosikia shauri la mtu, kipofu na usiozuilika. Heshima, kweli na kila uwezo bora wenye kuinua hali ya moyo huwekwa chini ya utumwa wa tamaa mbaya. Mtu ambaye amefungwa katika minyororo ya namna hii huku akipotewa na...
  11. Agentcode92

    CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

    Hii nchi ngumu hadi ombaomba kidonda anakigeuza mtaji, kitaalamu inaitwa kulamba asali...!
  12. Agentcode92

    Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

    Shida ya watu wengi wakishasikia tu kuna pesa wanataka kuipata bila kuifanyia kazi.
  13. Agentcode92

    Kwanini Temeke, Yombo, Buza na Mbagala mitaa hunukia miguu ya kuku mchana?

    Mkuu ulienda kunusa harufu za vyakula maeneo hayo? Au ndo utafiti?
  14. Agentcode92

    MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

    Mmmmh! Kuna mambo fikirishi yanaleta utata ngoja tuwe watazamaji...!
Back
Top Bottom