Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na...
1 Reactions
2 Replies
123 Views
Upvote 5
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi...
2 Reactions
10 Replies
159 Views
Upvote 2
Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Upvote 1
In the realm of education, stories play a vital role in driving positive change and shaping the development of a country. By focusing on innovative approaches, inclusive practices, and empowerment...
0 Reactions
4 Replies
97 Views
Upvote 0
Nchi ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kubwa tangu kupata kwake uhuru, inaendelea kupanua wigo na maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali za kijamii na ina matarajio ya kuendelea kufanya...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Upvote 0
TANZANIA YA WATANZANIA UTANGULIZI Ili nchi yeyote iweze kuendelea ni lazima kuwe na ushirikiano baina ya serikali, jeshi na wananchi. Katika suala Zima la kuboresha uchumi, siasa na maendeleo ya...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Upvote 2
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto. Malalamiko yamekuwa mengi...
0 Reactions
6 Replies
121 Views
Upvote 1
Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Upvote 0
UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza...
6 Reactions
8 Replies
147 Views
Upvote 6
Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza. Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Upvote 1
Habari za uzima watu wote? Nimekuja tena kuleta wazo litakaloweza kuibua au kuchochea maendeleo katika jamii zetu bila kuacha kundi lolote kwenye jamii zetu. Bila shaka utakubaliana nami kwamba...
1 Reactions
3 Replies
91 Views
Upvote 1
Utangulizi; Elimu, kilimo, afya na tekinolojia vyote huongeza ujumuishi wa uchumi wa Kati wa nchi uwe pia wa kati kwa wananchi,Tekinolojia katika madini kama chuma na madini ya vito, tuweze...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Upvote 2
Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
Upvote 0
Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa...
1 Reactions
2 Replies
78 Views
Upvote 0
Introduction. for Tanzania development in all aspects Economy, Education, Technology, we need to have a strong and quality Health system. " the biggest investment one can do is to invest in...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Upvote 2
Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Upvote 0
Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Upvote 1
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira...
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Upvote 1
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi...
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Upvote 1
Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom