Salamu waja.
Waraka huu utumike kama mashitaka kwa binadamu kwa kushindwa kuishi kwenye daraja la ustaarabu wake, kushindwa kuwajibika na kutumia vyema vipawa alivyozawadiwa na asili. Namtuhumu...
MAMBO 10 MUHIMU
UNAYOTAKIWA KUYAACHA.
Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za...
Na Emmanuel Zacharia.
0745937016.
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini...
Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki...
Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya...
Salute Wakuu
Utangulizi
Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya...
Karibuni Sana
kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo.
Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio...
" Daktari huwezi kuelewa ntakachokuambia bora nife nacho " yalikua ni maneno ya mgonjwa wangu niliyekua namhudumia kwa muda mrefu , niligundua ana matatizo zaidi yanayopelekea afya yake...
Ambitious Marriage Is Within Your Reach
Photo source: Internet.
Marriage a union of complementary parts not competitors
Marriage is one of the misunderstood and stressful things people struggle...
“According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral...
''NI KHERI KUFA KULIKO KUISHI‘’ SAUTI YA MSOMI WA TANZANIA
Anaanza kwa kusema,
.....Sitaisahau pindi nipo kidato cha pili, ni ngumu kuisahau siku ya jumatatu ya tarehe 6 ule mwezi wa pili mwaka...
TATII YA YA MALEZI NA WAZAZI
“kuwa mama ni kulea na siyo kuzaa na baba ni yule anayewajibika kwa watoto wake”
Vijana wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa sababu labda kwa kutokujua au kujua...
FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI.
Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia...
Habari Natumaini upo na Uzima.
Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu.
Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na...
Naitwa Teju ni kijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I...
Habarini sana wanajamvi,
Leo kijana wenu nina Uzi kidogo ambao maybe unaweza ukakuonya wewe mwenye mpango wa kutaka kujaribu kuanza kupiga punyeto au kukufunza wewe kijana au mwanaume mwenzangu...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI...
Habari yako ndugu msomaji.
Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu.
Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.