Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,375
- 4,993
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tafadhalini sana mnisaidie utaratibu sahihi wa kujiunga na dini ya mayahudi yaani Judaism
Nimevutiwa sana na dini hiyo siyo tu kwa uwezo mkubwa wa Mungu wanayemuamini bali pia jinsi anavyowaweka pamoja kama kondoo wa zizi moja na kuwalinda kikamilifu dhidi ya maadui zao huku akiwapatia nguvu kubwa za kiuchumi, kielimu na kiutawala.
Natamani niwe sehemu ya kundi hilo la wateule hivyo niombe mnielekeze mchakato husika.
Aksanteni sana na Mbarikiwe