Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,407
- 4,479
Tunatambua mchango wa JWTZ katika Taifa letu, lakini pamoja na yote, bado kwangu wanasiasa wana nguvu sana kufikia hatua ya kuharibu mali asili za nchi kwa ajili ya manufaa binafsi
Mimi nashauri JWTZ ijiongezee majukumu ya ku SCRUTINIZE na kufanya EVALUATION pamoja na CONTROL ya MAAMUZI yanayofanywa na wanasiasa kwenye resources za nchi yetu.
Natamani kuona Jeshi letu ni FULL AUTONOMOUS ili hawa wanasiasa wawekewe CONTROL kubwa sana kwenye MAAMUZI yao, otherwise resources za nchi zitaisha na zitamilikiwa zote na wageni.
Most wanaogawa resources za nchi sidhan kama wanamiaka 40 to 50 mbele ya kuishi based on the life expectancy data ya Africa( data.unicef.org).
Rais na Wanasiasa wote ni chombo cha kutuongoza na kutupa DIRA kupitia MAAMUZI sahihi: kama MAAMUZI yanayofanyika sio sahihi au hayana maslahi mapama kwa taifa, ni lazima JESHI liwe ni sehemu ya kusimamisha mchakato wowote ambao unaonekana hauna maslahi mapana ya nchi.
Tukiwaachia hawa wanasiasa nchi ambao most of them ni academic failures, tujiandae pia kuwaachia generation zetu taifa ambalo hata baada ya miaka 2000 years, halitobadilika.