Kuna ile tabia inapenya sana makazini especially zinapokutana gender mbili tofauti (me & ke). inatokea pale hao co-workers wanajaribu kuwa karibu zaidi kiurafiki hili kurahisisha utendaji wa kazi (may be) ila sasa inavuka mipaka. kunakuwaga na ile hali ya kutaniani kwa kushikana shikana au stori...
Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote.
Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
Mimi ni die fan wa Young African, timu yenye soka safi East Africa 😃 na mabingwa wa makombe Tanzania Bara kama hautaki meza godoro, lakini pia napenda sana music na nina-sikio zuri sana kwenye kusikiliza nyimbo na kuzielewa pia.
Nowdays wasanii wengi wamekuwa wakiimbia hizi timu pendwa bongo...
Ukipata bahati ya nafasi ya kufanya kazi au biashara katika umri mdogo (kuaznia 18 hadi 27)usidharau kazania sana kujua io kazi zaidi katika umri huo.
Kuna utofauti wa mtu aliyeanza kazi kwenye age io na yule aliyeanza above io age. ndo mana baadhi ya wenye mali huanza kuwalithisha mipango na...
Inawezekana ila noma mara nyingi ni kwa hao wanawake. yes unakuta chumba ni mwananmke amepanga ila kodi na vitu vingine mwanaume anakuwa anazingatia 100%. inshu bwana mkizinguana hapo kudadeki..hao mademu wanakuwaga na maneno ya hovyo sana yan
nje ya hii platform hamna sehemu namuongelea na tunamiaka 10 kazini pamoja kama familia tu..
nimejaribu kushare ile experience tunazopia katika utafutaji ndo mana ninakubali mchango wake kwangu.
hawezi kuwa perfect kwangu kwa 100% ilo lipo wazi na pia ye sio mungu kusema yupo sahihi kwenye kila kitu...nimejaribu kushare jambo ambalo wengi wanalipitia.
kama utachukulia negative ni wewe na kama ni positive ni wewe pia ila sio sawa kujivisha umungu mtu kisa umemsaidia mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.