Search results

  1. Nyani Bishoo

    Aisee vichwa vya wanawake kumbe huwa na hisia kufuatana na tarehe za Mwezi

    Aisee nimeshangaa sana baada ya jamaa zangu wa karibu wakilalama wapenzi wao ifikapo tu tarehe 21 ya mwezi huanza kulalama nywele zao zimefumka na kuchakaa na luku kwao imekata ghafla nikajiuliza kulikoni? Wajuvi wa mambo hebu tuelezeni siri iliyojificha kwenye nywele za wanawake.
Back
Top Bottom