Search results

  1. saadala muaza

    Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi:Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni.Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu tumbo...
  2. saadala muaza

    SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
  3. saadala muaza

    SoC03 Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi: Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni. Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu...
  4. saadala muaza

    SoC03 Maajabu ya Ng'wana Malundi

    MAAJABU YA NG'WANA MALUNDI --- Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi: Mwanamalundi ni miongoni mwa watu waliokuwa maarufu sana katika jamii ya wasukuma mnamo karne ya 19.Jamii ambayo kwa kipindi hicho ilijikita katika imani za kichawi na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa. Mwanamalundi alizaliwa...
  5. saadala muaza

    SoC03 Ijue Historia ya Kariakoo

    IJUE HISTORIA YA KARIAKOO(Carrier corps) Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi kariakoo ni jina la kata inayopatikana katika wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Tanzania iliyo na wakazi zaidi ya 13000 waishio humo. Eneo hili ni maarufu sana nchini Tanzania kutoka na...
  6. saadala muaza

    SoC03 Wema unadumu

    WEMA UNADUMU Mwandishi:Saadala Muaza Hapo zamani kulikuwepo na kijana ambaye alipata riziki yake kwa kuuza mchicha mlango baada ya mlango.Na hivyo ndivyo alivyoweza kupata fedha kwa ajili ya kulipia ada yake ya shule na matumizi mengine madogo madogo. Siku moja akiwa katika shughuli zake za...
  7. saadala muaza

    SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  8. saadala muaza

    SoC03 Wafu walio hai

    Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote. ~~~ ###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
Back
Top Bottom