Miaka flani nilikua na shamba hapo Kijaka kimbiji hao jamaa walikuja kuvunja kinyumba changu wakaondoka na vitu vyangu vya shambani tulipelekana mpaka kwa mkuu wa wilaya maana badamu bangemwagika
Ila hawakuacha chokochoko ikabidi nihame tu.
Labda kuna siku tutapata viongozi wenye akili wataruhusu ila kwa sasa haya mazee yanachowaza ni kupora uchaguzi tu na kuwafanya watanzania kua wajinga na machawa ili yaendelee kutawala
Nimeona mahali anazungumza na ma tycoon wa biashara ya mafuta anawaomba wamchangie dola billion moja arudi white house
Ma Don hao wanalalamika kwa mwaka jana tu walitumia dola million 400 kufanya lobbing kwenye serikali ya Biden ili kupunguza vikwazo vya ki mazingira
Bila shaka Trump atarudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.