Wakuu kwema?
Nafurahishwa sana na utendaji kazi wa huyu mkuu wangu wa mkoa. Kwakweli mama anaupiga mwingi.
Nilikuwa naomba mwenye CV yake atuwekee ili tujue na kama itawezekana na watoto wetu wafuate nanyo zake.
Asalaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.