Uhalisia unaonekana mkuu.
Tembelea shule uone, hapa Dar kwenyewe hadi kununua chaki na vifaa vingine ni changamoto sana.
Hiyo ni mojawapo.
Nimesema Indirect kwasababu kuna watakao tamani kupunguza mzigo wa malezi.
Kwa sasa ni kweli birth rate ime decline kidogo ila ni kwa records kabla elimu...
Elimu ni gharama sana.
Serikali bado haijafikia uwezo wakuweza kuchangia elimu kwa 100%
Kufanya elimu bure kabisa wanazidiwa sana.
Nimependekeza Halmashauri ndio zihusike kwa kubaini kaya zinazohitaji msaada.
Lakini hii itasaidia pia hata kuregulate population growth indirect, Mtu akifikiria...
Evelyn Salt pita huku kuna pesa.
Mwl wa zamani Madame B pita huku kuna Idea, na vile uko wizarani it can help.
My darling love financial services pita hapa.
Mtani Vincenzo Jr hapa wewe ni ndugu yangu.
Jamaa yangu Mtoto halali na hela.
By the way don't forget to press Vote.
Nimetoa Mapendekezo kuhusu hili
Napendekeza kiwango cha mchango kisizidi 30,000/= kwa Mwaka, lakini Halmashauri ziwe na utaratibu wa kubaini familia ambazo haziwezi kabisa kutoa.
Halmashauri zitenge fungu maalumu kwa ajili ya Elimu hasa kwa zile kaya Maskini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.