Nilishasema na bado narudia kusema Siku zote ukiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe hutoweza kunielewa / kumuelewa GENTAMYCINE na aina yake ya Uwasilishaji wa Mada zake hapa JamiiForums na ukiwa Mpumbavu kama Ulivyobarikiwa utakurupuka kuona Mada yangu haina maana ila kwa wale Intelligents Members na...
Wanaopta CPA huwa hawasomi / hawakai Darasani? Je, Mtu akikaa Darasani akiwa kamaliza O and A Level kule huwa kunaitwaje? au CPA huwa zinatolewa Chumbani Kwako unakolala na Mumeo hivyo Mimi kusema Chuo / Vyuo nimekosea na siyo Kiswahili fasaha? Pumbavu.
Nasikia Balozi alimuuliza Maxence Melo huyu GENTAMYCINE ni nani mbona ana Uwasilishaji wa Kimitego, Kiuchokozi na wa Kimaarifa sana?
Na kwa Roho za Watani zangu Wahaya nasikia Mtani wangu akamjibu huyu ni Popoma Mmoja hivi kutoka Musoma ila ipo Siku nitakuletea Ofisini Kwako umuone na ukimuona...
Mtani wangu JamiiForums Founder Maxence Melo nitafute haraka nikupe Dawa ya Macho kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) uachane na Miwani hiyo.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi kushukuru kwa maendeleo yanayofanywa katika maeneo yao.
Makalla amesema hali hiyo inaanzia katika...
Na kinachonishangaza zaidi Kutwa mnahubiri Chuki dhidi yangu hapa JamiiForums huku mkisema hamvutiwi na Mada zangu lakini 24/7 nyie ndiyo mnaaongoza Kuzifungua na Kuzisoma. Je, hapa nikiwaiteni Wendawazimu nitakuwa nakosea?
Tokea nijiunge hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo sijawahi kuwa na tatizo la kukosa Bando. Na kinachonishangaza zaidi Kutwa mnahubiri Chuki dhidi yangu hapa JamiiForums huku mkisema hamvutiwi na Mada zangu lakini 24/7 nyie ndiyo mnaaongoza Kuzifungua na Kuzisoma. Je, hapa nikiwaiteni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.