Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=
Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.