Search results

  1. C

    Wanaokerwa na matangazo ya bahati nasibu/kamari toka mitandao ya simu tukutane hapa

    Vodacom Tanzania mnakera sana na hizi sms za bahati nasibu, unaamka asubuhi tu unapanga ratiba zako za kwenda kutafuta mkate wa kila siku mara ujumbe unaingia kwenye simu, unakimbilia simu ukidhani ni mchongo wa kazi au interview unakutana na sms ya mojaspesho 😡. Mchana hujakaa sawa instamoja...
  2. C

    Wazoefu wa kununua vitu ebay pitieni hapa

    Habari zenu. Mwisho wa mwezi wa pili nilishawishika kununua kamizigo kadogo kwenye mtandao wa ebay. Taratibu zote za malipo nilikamilisha 28/2/2019 na siku iliyofuata mzigo ukatumwa na nikapewa tracking number. Tracking history inaonyesha mzigo ulitoka vizuri china hadi transit country...
  3. C

    BBC Swahili Haririni tena hii habari

    Nimekua mfuatiliaji wa habari na makala mbali mbali toka tovuti ya BBC swahili kwa zaidi ya miezi sita sasa. Leo nimetahamaki kuona habari ambayo imechapishwa na chombo kikubwa kama hiki ikiwa na makosa ya kiuandishi katika aya ya kwanza. Habari hii imekaa zaidi ya masaa mawili ikiwa na makosa...
  4. C

    Ushauri: Nimemuacha anatishia kujidhuru

    Hodi wanajamvi, Kwa zaidi ya miaka nimekua mfuatiliaji wa thread mbalimbali jukwa hili na nimejifunza mengi kwenu, naamini kwa busara zenu mtanishauri nini cha kufanya katika hili linalonisibu. Mwanzoni mwa mwaka huu nilikutana na binti mmoja anasoma chuo uuguzi, nilimpenda na tukaanzisha...
Back
Top Bottom