Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu, naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya YA akili pale muhimbili so...
1 Reactions
9 Replies
108 Views
Moja kwa moja kwenye hoja yangu Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi. Maana...
11 Reactions
114 Replies
1K Views
Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Unapotaka kununua nyumba au ardhi kwaajili ya makazi yako weka sana umakini wa kuchunguza wakinanani wanakuwa majirani zako na ni watu wa aina gani usiishie tu kuangalia uzuri wa nyumba unayotaka...
10 Reactions
22 Replies
522 Views
Habari wanajukwaa la sports. Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
5 Reactions
37 Replies
919 Views
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA...
15 Reactions
91 Replies
1K Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
9 Reactions
35 Replies
803 Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
19 Reactions
72 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,698
Posts
49,783,847
Back
Top Bottom