Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi...
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.
Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa...
Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania,atatoka ndani ya CCM.
Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM...
Habari,
Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.