Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa Kwa mikataba...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari ndugu zangu wa JF, Uzi maalum wa picha aina mbali mbali za vyoo kitchen sink majakuzi vyoo mabeseni bath..Pia material mapya yanayo ingia sokoni aina mbali mbali za cock n.k Pia unaweza...
15 Reactions
469 Replies
31K Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
6 Reactions
77 Replies
806 Views
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
14 Reactions
64 Replies
1K Views
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
23 Reactions
139 Replies
2K Views
Jioni moja ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba Vs FC Platnum, mechi ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika, matokeo yakiwa ni 0-0 Simba wanafanikiwa kupata penati, wachezaji wa Platnum...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Wachambuzi wenzangu uchwara njooni tuijadili hii list
5 Reactions
217 Replies
17K Views
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa...
1 Reactions
8 Replies
83 Views
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi. Huyu...
16 Reactions
84 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,654
Posts
49,782,949
Back
Top Bottom