Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo
Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.