Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
52 Reactions
378 Replies
8K Views
Kwema ndgu zangu... Ni ndgu yenu Mmanyanigho hapa, nilipost thread ya kuja dar Sina namna nakuja Dar Sasa Dar nilifika salama, nimehustle mpaka nimepanga chumba maeneo ya uswahilini kidogo...
1 Reactions
6 Replies
106 Views
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
4 Reactions
20 Replies
71 Views
Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa. Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na...
2 Reactions
11 Replies
362 Views
Gym trainers siyo poa yaani.
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
8 Reactions
38 Replies
534 Views
nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
3 Reactions
69 Replies
661 Views
Wakuu naombeni ushauri, Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah...
4 Reactions
85 Replies
1K Views
Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali. Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
3 Reactions
14 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,521
Posts
49,778,116
Back
Top Bottom