Recent content by Othmorine

  1. Othmorine

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Yanga anashinda kwa goli moja bila leo na goli lenyewe litakuwa limejaa utata mwingi lkn ndo ivyo tena ushindi utakuwa kwao.Save this comment
  2. Othmorine

    Kombe la club bingwa msimu huu ni la yanga

    Sawa shehe Yahya Hussein
  3. Othmorine

    Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

    @point of no return Point of no return Kuna swali lako huku
  4. Othmorine

    Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

    Hiki ni kiswahili au kingoni? Kama ni kiswahili basi lugha imepanuka sana
  5. Othmorine

    Wito kwa Waziri ya elimu, TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Kongole mkuu, mawazo na ushauri mazuri sana huu umetoa.Kazi kwao wizara husika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Kwahiyo kuna kutamka majina matatu kwanza mara tatu. Kisha ndio unaanza kutaja bible code kwa dk 15 si ndio hivyo?
  7. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Hapo unaposema mara tatu tu unakuwa unamaanisha nini na wakati umesema tutumie japo dk15
  8. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Naona mleta mada kajiingiza kwenye mabishano badala ya kuendelea na kazi yake.Sio kila swali linahitaji kujibiwa ukifanya hivyo unaenda kupoteza mwelekeo
  9. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Maswali yangu haya hujayajibu mtumishi
  10. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Naomba kuuliza mtumishi wa Mungu. 1.Ili kupata matokeo ktk kipengere husika natakiwa nilifanye zoezi hili kwa siku ngapi? (a)je ni lazima iwe kwa mfululizo? 2.Je naruhusiwa kuchanganya vipengere tofauti tofauti kwa siku? Natanguliza shukrani
  11. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Asante sana mkuu,naendelea kusubiri na kukufuatilia
  12. Othmorine

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Vipi kuhusu code za kuondoa roho za umasikini na ufukura.Maana kuna watu pamoja na kufanya kazi kwa bidii lakini mambo bado hayafunguki.
  13. Othmorine

    Mbona wanyama hawana daktari bingwa?

    Mbona makasiriko mengi kwetu mkuu? sisi matajiri tumekukosea nini?Najua bado hujasema
Back
Top Bottom