Huyo jamaa nikiazi kweli anajua kuanzisha program nirahisi hajui Kuna Kodi, Kuna kulipa wafanyakazi , Kuna matangazo yeye anaropokwa tu kuwa hawafanyi kazi yeyote
Umaskini tu 😂 wanawake wengi 98% nimaskini hawana chochote ,, hata umkimtenda tukio Hana pakwenda atakula Nini? Anaona Bora ang'ang'anie tu Yani Kuna kitu kinamuweka hapo kwako hakuna otherwise
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.