Samahani faili likishafika mahakama kuu inachukua muda gani pesa kuingizwa kwenye account za warithi? Nina watoto wa ndugu yangu washamaliza process wameambiwa faili lishapelekwa mahakama kuu, inakaribia mwezi pesa hazijaingizwa kwenye account zao.
Kweli kabisa yani huyo mama ana makosa sana,mbona hakwenda nyumbani kwake moja kwa moja? Na nahisi alivyofika airport alishaanza kujisikia vibaya.Alitakiwa ajisalimishe achukuliwe na ambulance apelekwe hospitali.Nashangaa wanaomuona shujaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yashawaliza watu hiyo biashara unayoenda kufanya angalia usijeukalizwa ukabaki na madeni matapeli huwa wanawalenga sana watu wenye mafao,kuna mzee analia mambo hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula ndizi hasa ndizi bukoba zenye mchanganyiko wa bamia, bilinganya na nyanya chungu, kiwe chakula chako mara kwa mara,bila kusahau maji kwa wingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.