Niliwahi kusema hapa jamvini kwamba muda siyo mrefu itajulikana Wabunge wa Viti Maalum akina Halima Mdee na wenzake walifikaje Bungeni na Kwanini Mnyika hakushtaki Mahakamani kama kweli akina Mahera waligushi Saini yake
Mchungaji Msigwa ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu anasema Chadema kuna...
Kwa sasa Mchungaji Msigwa atapata ugumu kugombea ubunge Iringa kwa sababu ya Vita baridi Kati yake na Mwenyekiti wa Mkoa Bilionea Mungai
Ni Mungai Ndiye kasababisha Sugu ashinde Kanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.