Recent content by GEMBESON

  1. GEMBESON

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    WaZanzibar wana Katiba yao, Rais wao na Jeshi lao JKU. Wakati watanganyika wote hatuna Rais wala katiba!. Hapa tumepigwa za uso
  2. GEMBESON

    Ushauri: Nilimfumania nikaachana naye lakini sasa haishi kunitukana, nataka kumburuza kwenye vyombo vya sheria

    Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni. Usijisumbue kushindana na mwanamke kwa kujibizana nae atakushinda tu nawe utaishia kumpa kichapo. Mwanamke anauwezo wa kuongea kitu cha uongo cha kukudhalilisha na kikaonekana ni cha kweli
  3. GEMBESON

    Ushauri: Nilimfumania nikaachana naye lakini sasa haishi kunitukana, nataka kumburuza kwenye vyombo vya sheria

    Huyu wagu nilifuga nae ndoa, nimemsomesha Chuo na nimemtafutia kazi Serekalini na nina mtoto nae (Anajua alipotoka na mahali alipo) mtu niliemkuta nae ni mume wa mtu. Hivyo hii njia yangu inamtesa maana hajui nawaza nini.
  4. GEMBESON

    Ushauri: Nilimfumania nikaachana naye lakini sasa haishi kunitukana, nataka kumburuza kwenye vyombo vya sheria

    Tena siku niliyomfumania ilibaki kidogo niue. Maana nilimkuta live anamegwa. (Nilikuja mfikiria sana mtoto, Nikahairisha huo mpango na kuamua kumuacha na kuchagua njia hii ya kukaa kimya).
  5. GEMBESON

    Ushauri: Nilimfumania nikaachana naye lakini sasa haishi kunitukana, nataka kumburuza kwenye vyombo vya sheria

    Hiyo njia ya kunyamaza inatosha. Wala usihangaike kumjibu wala kumshtaki popote. Kiuhalisia huyo anamaumivu ya wewe kumuacha ndio maana anahasira na wewe. Mimi nilikuwa na senario kama hii yako (Tena mimi alikuwa mke wa ndoa) kuna siku nitakuja wasimulia humu. Niliamua kukaa kimya tu na...
  6. GEMBESON

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Moyo wako tayari umeshaachia na kukubali kupoteza. Hii ni hatua nzuri ya wewe kusonga mbele na maisha mengine kuendelea.
  7. GEMBESON

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Shukrani mkuu, Conclussion ya hii simulizi nimeipata hapa kwako. 1. Msaliti ni msaliti tu (Nyoka hata akijivua gamba, hawezi kuwa Mjusi - bado ataendelea kuwa Nyoka) 2. Mazoea ya wapenzi wengi waliofanya mambo mengi ya pamoja - huwaletea shida sana baada ya kuachana. (Kuna connection fulani...
  8. GEMBESON

    Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Namshukuru Mama Samia, Leo mvua imenyesha kidogo, hii ni dalili ya ushindi kwa Timu yangu hapo kesho
  9. GEMBESON

    Mdomo unaumba, jinenee mema

    Mdomo unaumba au Maneno huumba?. Ngoja basi na mimi nikaongeze idadi ya wanaomsapoti Jay Melody. Kijana mwenzetu huyu na kiukweli ngoma zake ziko poa.
  10. GEMBESON

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Kwa kweli tayari. Kuna ushindi utatokea siku tatu zijazo na mvua itanyesha
  11. GEMBESON

    Kama tumekubaliana kuwa wamoja kimataifa, sasa kwanini tumeanza kurogana wenyewe kwa wenyewe?

    Ndio kusema yale majini ya Jangwani yalishateketezwa na Azam, hayana nguvu tena. Mamelod wanakuja kujipigia tu
  12. GEMBESON

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Pole sana mtoa mada. Ukweli ni kwamba kwenye kila familia kunakuwa na jambo zuri au baya ambalo linaiandama familia hiyo na huwa inatokana na wazazi na huendelea hadi kizazi cha tatu cha huyo mzazi msababishi. Kwa mfano kuna familia utakuta mzazi wao alikuwa na akili sana, hii itaenda hadi kwa...
  13. GEMBESON

    Huyu bibi bikra mwenye miaka 86 anawakilisha mentality ya wanawake wengi

    Hata hawa tulionao wana mitazamo kama ya huyu Bibi. Mwanamke huwa anamkubali mwanaume ambaye ana kazi na uwezo wa kumtunza. Angalia jinsi wanaume wengi wanaoachishwa kazi, utakuta na ndoa zao zinakuja kuvunjika. Wanawake wengi hawawezi kuwa faraja kwa mwanaume asiye na uwezo, wao wanaangalia...
  14. GEMBESON

    Kibu na Mzamiru watozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa Ulozi

    Walijuaje kama kuondoa Taulo ni imani za kishirikina?.
  15. GEMBESON

    Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

    Ni heri tuiite Aly Kamwe Day. Kwa kila goli tutakalofungwa kuwe na mashabiki wanaozimia, hadi dakika 90 tuwe tumezimia uwanja mzima
Back
Top Bottom