Recent content by arsenal2004

  1. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu najaribu kuangalia forward tunaohusishwa nao kwakwli nachanganyikiwa...yule Sesko wa RB Salzburg ni Haaland mtupu...ila yle Gyokeres naye ni kifala...huku Zirkzee naye ni hatari...yaani inabidi tupate mtu hii midomo ya wapinzani tuikate mwakani🤠🤠
  2. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Una kaufala Fulani hivi🤠🤠...nipo sana hmu na Sasa tunaanza maandalizi ya fezi foo....I'm more confident than ever....makombe yananukia....mwakani EPL kipara Hana chake na yy kashanusa hatari ya Arteta....tupondeni ila mwezi wa nane tabu zitawarudiq upya....
  3. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni lini nilisema tutabeba UEFA mkuu 🤠 🤠....usinilishe maneno shehe....ndoo ya EPL Emery katufanyia roho mbaya tu🤠🤠...ila fezi foo hii kitu tunanyakua...msimu ujao big six wte mjiandae kutuchangia points 6 maana tuna jambo letu
  4. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unabwabwaja nn ww Lofa Mlinda mageti🤠🤠....akichukua kipara kastahili..tutajifunza kwa mistakes tulizofanya na mwakani kwny fezi foo tunabeba hii ndoo....msitufananishe sisi na nyny...tupo mbali sana kwa sasa
  5. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wanatukera sio🤣🤣
  6. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wanachonikera Wana vipasi Fulani vya kisenge wanacheza kule nyuma itakuja kuwa cost....waache ufala kama hamna space wabutue mbele....watu tunaombea draw hapa j2 tumkaange mtu kono la sokwe
  7. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unaweza kukuta hyu anayejiita ImMrLiverpool ni kijana wa miaka 19 anayejifunza uchawi akiwa bdo kijana mdogo sana🤠🤠...na leo ndo atalia kabisa baada ya Spurs kupata Draw dhidi ya City
  8. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Msimu ujao mnamaliza wa 15 hakyanani🤠🤠...kama mentality ya timu yenu ndo hii kwmba mmetufunga ila wachezaji Fulani hawakuwepo hakyanani mna Hali ngumu huko mbele....labda muuze kikosi kizima kitu ambacho hakiwezekani....tabu ipo palepale
  9. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumekusikia....karibu j2 pale Emirates tushangilie ubingwa pamoja🤠🤠🤠
  10. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumekusikia mkuu🤠🤠...tunawashukuru sana kwa mchango wa points 6 msimu huu na goal 4....hamna baya ndugu zetu
  11. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nguvu ya kuwananga leo hatuna kabisa🤠🤠...sawa mmetoa lakini kwa Mbinde sana....hamjaitoa kirahisi kabisa.... Forgotten na genge lako la kina Flano nawapongeza sana kwa mpira mzuri....mngetimia leo full squad mlikuwa mnatufunga kabisa yaani
  12. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Shida nn kwani🤠🤠🤠...mbona una kiherehere sana mkuu....tumecheza mpira mbovu tumepata point 3....kuna tatizo kwani shehe
  13. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kai michano...Kai bishoo...J2 ana goli zake 2 kupitia guu lake la matusi
  14. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Build up from the back..high pressing...counter pressing...mid block...kwa kutegemea mtu mmoja...Cole Palmer...acha upimbi shehe...mechi zte mlizodundwa hyo dogo hakuwepo ukiachana na mechi yetu??...narudi palepale angekuwepo hyo fala wenu msingefanya chchte mbele ya ile midfield yetu siku...
  15. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kipindi sisi tunamaliza nafasi ya 6 nyny mnabeba ndoo na Jackson au sio🤠🤠...inatakiwa mechi ijayo tukikutana tuwalambe 10 kabisa...maana kuwafunga sio ishu sikuhz ila kuwafunga migoli mingi ndo inatakiwa iwe utaratibu rasmi
Back
Top Bottom